Karibu kwenye WBO, ubao mweupe wa bure mtandaoni!
WBO ni programu huru yenye msimbo wa chanzo ulio wazi ya ubao mweupe shirikishi wa mtandaoni. Inawawezesha watumiaji wengi kuchora wakati mmoja kwenye ubao mkubwa wa kidijitali. Ubao husasishwa kwa wakati halisi kwa watumiaji wote waliounganishwa, na hali yake huhifadhiwa kila wakati. Unaweza kuutumia kwa madhumuni mengi tofauti, yakiwemo sanaa, burudani, usanifu na ufundishaji.
Ili kuchora pamoja na mtu kwa wakati halisi, mtumie tu URL ya ubao.